Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041
"Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041"
Kumbe Astra 28E inapatikana TZ? Nimeangalia footprint nikaona iko mbali sana. Dish size gani mkuu?