Duh mimi mgeni kwenye haya mambo! Natumia king'amuzi cha dish cha startimes....ila channel zake za kiwaki. Je naweza kupata channel nyingine zaidi ya hizi? Kupitia receiver hii hii ....sijui chochote kuusu kuseti dish
Sasa Citizen bado ipo ila haiwezekani kushika pamoja na za bongo wameshusha signal yake labda uwe na dish ft8. Ila zote NTV QTV na CITIZEN TV zipo hewani
wakuu naombeni kujuzwa maana kila ikifika saa moja na nusu usiku TVM1,TIM,TVM2 zina scrach sana mpaka ikifika sa 4 usiku inaandika no sign inaenda mpaka sa moja mpaka mbili asubuhi ndo inaonesha tena. Sasa apo tatizo ni nini?