Naomba
pics za lnb
arrangement unavyopata yahsat wakati intelsat 906 ikiwa primary.Nataka
kujaribu Yahsat Kigoma kwa kutumia ft8 bila kubadilisha uelekea wa
zilipo za local.LNB ya stargold tayari nimepata Mwanza.
I am sorry brother, kwenye mpango wa pic kwa kweli nipo mbali na chombo
ambacho naweza kutumia kufanya hivyo lakini nijaribu kukuelekeza tu,
kama ushawahi kufunga lnb ya ku ya NSS 12 @57¤EAST ILIPO K24 YA KENYA,
shuka kidogo kama 1cm utakuwa kwenye degree 53East, cheza hapo unaweza kuwa
Champ.
Habari JF. Shughuli za kila siku zimenifanya nipotee humo ndani kwani mrefu kidogo. Kupotea kwangu kumenifanya nijirundikie pms nyingi sana. Nyingi ya hizo jumbe zinahusu receivers. Kuhusu rcvas napenda kuwajulisha kuwa AZSKY G6 @TSH200,000 XMAN G8 @TSH220,000 NA STRONG SRT 250,000.

Ndg zangu wana FTA satellite mm nipo Kondoa nina dish la futi 6 na lnb moja locol chanel napata Tbc 1, Itv, Chnl 10, eatv, capital, Tim, Tvm2 tu. Je, nawezaje pata star tv citizen ntv ubc n.k? ahsante sana kama mtanisaidia