Jamani naomba uliza mie nipo huku mkoa wa Katavi,Wilaya Mpanda,niliisha wai angaika sana na Nilesat 102 at 7.0°W. Kwa dish kubwa la futi 10 la bati nikitumia receiver ya mpeg2 strong nikafeli,nikashauriwa labdaa kutumia Humax HD nikajaribu nikafeli sasa nauliza nifanye kipi? Au inatumia KU tofauti na hizi za tulizo zoea? Au kunani? Msaada tafadhali
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums