wadau local channels zimeama tena 36e tafadhali anayejua walipo mara nasikia wapo amos 5 lakini nikicheck kwenye net sizioni.mwenye uhakika anitonye tafadhali na freq pia naombeni,pia swala linguine sina finder nimezoea kutafuta sat kibabe babe so mnielekeze upande iliko kwani nina dish mbili hapa,,,moja nimefunga eutelsat 7w ambayo ni futi 6 na ya pili ni hii niliyokuwa napatia local chanel ambayo nadhani ni 75cm niliyokuwa nimefunga eutelsesat 36e,,,,please Arselona>>>Tusichoke>>>>Jf expert>>>>>kibula mko wapiiiiii???