azam tv inapatikana kwa ku band pale degree 7 ilipokuwa gtv zamani. Ka band ni latest sana.kwa afrika bado sana kwa sasa inafanya kazi usa tena sio kote .ili kupata chanel chanel za ka tembelea lyngsat.com
Ipo east angalia mwelekeo mpya wa zuku,ila dish linyanyuke kidogo sana kuelekea angani kuanzia pale ilipo zuku.Kama dish lako ni kubwa kidogo (dstv size) unaweza kupata 16E na 17E kwa pamoja,hivo bac utapata channel nyingine kama oromia tv na nyingine toka 17E pia rdv,lcf,stv2,boom tv na nyingine nyiiingi kupitia freq.12562 H 30000 mpeg2
Majanga haya nilikuwa natumia dish la Zuku na receiver ya Eazytech 999 upepo umetikisa sasa channel zote zandani zimesepa nimejalibu kuseti tena sijapata naombeni msaada npo Biharamulo