Wadau ni mgeni katika haya mambo, naomba niulize swali , samahani kama litakuwa la kijinga.
Mimi ni mpenzi sana wa documentaries, je naweza kupata channels hizi zote zifuatazo kama Free To Air, yaani, Discovery,National geographic, Nat Geo Wild na Animal Planet? Kama ni ndiyo mahitaji ni nini hasa na natakiwa nifanyaje?
Asanteni Sana