ukitumia dongle utapata mytv channels,tofauti na zile za dini hizi ni paytvs, iwapo utatumia mpg4 ya kawaida utaendelea kupata channels unazozipata sasa,vinginevyo ufunge na lnb ya c band utaongeza channel kibao za india kwa mpg4 including aljazeera english news
Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.
hello wadau
naomba kujua ni satellite gani inayoweza patikana dar es salaam kwa dish la c band 6ft na receiver ya mpeg4 ambayo ina channels nzuri kwa ajili ya watoto e.g cartoons. plz
Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.
kinachonishangaza ni kwa nn hujapata badr6 wakati hiyo ina beam kubwa zaidi ya badr5. Anyway nikupe hongera zako na jaribu kuchezesha lnb yako huenda ukapata badr6. Naomba u2wekee tp ulizopata signals. FTA na idumu.
Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.
Maark ukiwa shelui ungo wako wa ft8 unatakiwa uelekee magharibi. Fungua link hii utaona jinsi ungo unavyotakiwa kuwa. www.satlex.de/en/azel_calc-params.html?satlo=26.0&user_satlo=&user_satlo_dir=E&location=&la=-4.3547853&lo=34.2004683&country_code=tz&diam_w=240&diam_h=240
tafuta kwanza ses5(zuku ilipo). Ukishapata weka tp ya ku-band ya amos5. Halafu ukisimama nyuma ya ungo zungusha ungo wako kuelekea kulia kwako kidogo sana( 3cm). Kutoka hapo ukiwa bado nyuma ya ungo wako umuvuzishe kidogo ili uinuke huku unaangalia tv yako. Utaipata tu.
mi natumia zuku tv na ungo wa euro ster futi 6 ila mi sieliwi chochote jinsi ya kupata free chanels mi ni adicted kwa mpira wa miguu msaada jinsi ya kufanya.
mi natumia zuku tv na ungo wa euro ster futi 6 ila mi sieliwi chochote jinsi ya kupata free chanels mi ni adicted kwa mpira wa miguu msaada jinsi ya kufanya.