Ulimwengu wa 3D na 4D

mkuu hakuna sehemu nimekataa kuwa Dunia hii ina mambo ya ajabu. tena ajabu sana.

kuna mambo nimekutana nayo ktk maisha yangu huwezi kuyaingiza kwenye science yakakubalika hata kidogo.

na kuhusu Jicho la tatu nakuhakikishia kwa asilimia 100 kuwa HUWEZI KUONA UHALISIA WWT bali utakachoweza kuona ni Uongo mkubwa na ukweli kidogo mno. na hii ni Kazi ya Majinni.

Watu wengi Duniani wamekuwa wakitumia majinni kutazama mambo yao na ya wengine sehemu mbalimbali Duniani.
Na Haya mambo yanafanyika DUNIA NZIMA.

Lkn kusema ukae peke yako ufanye meditation kisha uone bila kuingiza Ushirikina Hio kitu hakuna kaka.

unless uwe ktk influence of Drugs au mitishamba mikali inayosababisha akili ihame ktk Ulimwengu usiojulikana. na utakachokiona ni ktk yale yale uluokuwa ukitamani kuyaona.

hii wanafanya sana watu wa North America.
nimeona watu wa Peru,Na Pande za Bolivia ati wakitaka kutatua matatizo yao wanakunywa mitishamba flani kisha wanaongea na mizimu. kumbe zile zote ni Hallucination tu zinazotokana na ile mitishamba lkn Hakuna ukweli wwt ndani yake.
Ni sawa na mvuta bangi kavuta bangi kali kuliko zile alizo zoea kisha akaanza kuona maisha yake yoote yametengemaa kumbe bado anapiga debe kwenye daladala.
 
ha ha! likigoma tunakuwekea ndimu jichoni au mkojo wa mamba.. hapo utaona hadi funza watakavyokuwa wakikugombania kukutafuna siku ukiwa ardhini!
πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒhizo mambo fanzeni nyinyi
 
Hahahahaaaaa!!ukumbafu haupungui hata jiwe akifanya elimu iwe bure! Jicho langu la tano limenionyesha hivyo,jicho! Eti jicho la tatu!! Upuuzi kabisa.
 
kwani mkuu unaamini kwenye habari zao kumeditate au
 
Nina uhakika asilimia mia moja hujui hata maana ya research na haujawahi kufanya research ya aina yeyote, hii ni kwa muujibu wa maandishi yako,

Pia hujui kama kuna watu wana PhD za hicho ulichokiita fiction, ujue unachekesha sana,

India kuna vyuo vikuu vinavyofundisha YOGA na hicho unachokipinga wao wanafundishwa kwa sababu kinafaida kwa jamii,
Mfano wa hivyo vyuo ni Lakurish Yoga university vice chancellor wake ni Dr Chandrasih Jhala

Wizara ya afya India hua inaazimisha dunia nzima kuhusu haya mambo kila tarehe 21 june,

Kwa hapa bongo kama upo dar uwe unaenda kila tarehe 21 june hapo uhuru stadium utawakuta wamejaa uwanja mzima,

Hujui hata Telepathy ni nini?, pre recognition ni nini? Meditation ni nini? Unachojua wewe ni hizo story za vijiweni na kuja kutamka hapa kuwa umefanya research,

Siku nyingine ukija kwenye hili jukwaa hakikisha unajua unachokisema na sio kudanganya watu.
 
kwani mkuu unaamini kwenye habari zao kumeditate au
meditation sio suala la imani bali ni practice.

hata wewe na mtu yyt anaweza ku-meditate lkn utakachokiona ktk meditation ni kile kile ambacho akili yako tayari imeshakifikiri.
hutoona Jipya au la ajabu.
Buddist wanafanya sana meditation.

hata Sisi waislamu tunapotaka kufanya ibada kwa utulivu na nidhamu ya hali ya juu tunafanya meditation lkn Hii huwezi kuita Jicho la tatu. bali ni kuilazimisha akili yako kufikiri kile UNACHOKITAKA .na vingine usivyovitaka unaviacha kitu ambacho ni kigumu kufanya bila Meditation.

ni Hilo tu.
 
teh teh teh teh.
kwahio wao wakidhimisha siku ya Yoga tayari wewe masumbuko unaamini mia kwa mia kuna Jicho la tatu!
kaazi kweli kweli.

we Huna habari hakuna maadhimisho yenye sponsor wengi kama siku ya Mashoga Duniani?! sasa unataka kunambia wewe unakubaliana kuwa Ushoga ni kitu cha kawaida na kinafaa kupigiwa promo?
au kijana we sio rizki?
 
Jicho la tatu dili kuuubwa saaana mjini. Lifungue watu walifumue ndo utanielewa.


NB, fumbua jicho la tatu watu wachomeke ndaniiii baada ya kufyekerea mbali marinda ya sketi.
 
Inatofauti gani na meditation?
 
Mbona upo nje ya Mada
hujajibu lolote ila umemkashifu kuwa jamaa hajui lolotwe kuhusu 4D
mwenzako kasema ACHENI KUTULETEA UONGO
na ni kweli hamjagusia 3D wala 4D
mnatuletea YOGA mara sinema
kwanini usiingie Google au Wikipedia
kupata maana ya 3Dimension au 4Dimension
ni tofauti kabisa na hizo YOGA
 
...nilijua tu nyie wavaa visuruali vifupi ni short sight mno...mnachojua na kuamini ni jua kuzama matopeni tu
....hamko tayari kabisa kupokea elimu mpya vichwani mwenu..hopeless kabisa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…