Ukiangalia kwa umakini mkubwa utabaini kuwa hiyo laptop imepachikwa tu hapo miguuni kwa babu. Mambo ya teknolojia kucheza na picha ofisini tu mpaka kitu kinakamilika. Inaonekana kulikuwa na jambo jingine lililokuwa linafanyika na siyo hilo la babu kutumia laptop. Ni maoni yangu tu wajameni.