Ulimwengu unaelekea wapi?

Kwa kweli Tuombe Mungu sana koz hali ni mbaya tuwe karibu na wake zetu kuongea nao mara kwa mara kuwa si wasije ingia kwenye hii mitego. Nadhani angalau itasaidia
 
UKIWEKA YAKO UTASIKIA BABY FROM WALIOKATAZWA NA MAKONDA....SO KILAKONA NI NOOMA
 
Kwa kweli Tuombe Mungu sana koz hali ni mbaya tuwe karibu na wake zetu kuongea nao mara kwa mara kuwa si wasije ingia kwenye hii mitego. Nadhani angalau itasaidia
hilo ndo neno. ishi vzuri na mkeo mwoneshe mapnzi htopata muda wa kushawishika. vnginevo vishawishi ni sumaku.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…