Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Stori nzuri sana hii
 
Dah kweli ukikaa karibu na uwaridi lazima unukie, nimeisoma naona shemela umeanza kuiva kwenye hizi mambo kama The Bold....afu naomba na mi muwe mnanitag
 
Respect [HASHTAG]#Nifah[/HASHTAG]

Respect Mkuu [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold
 
Asante sana nifah nami ntaku pm unifundishee kuandika makala nzuri za kiuchunguzi hiv
 
Ssasa kama hicho kitengo cha SAD ni cha siri wewe umekijuaje? ...hongera lakini kwa hadithi nzuri.
labda hujaelewa.. Kitengo cha SAD kinajulikana kipo ndani ya CIA (uwepo wake sio siri) ila shughuli zake ma maafisa wake ndio 'top secret'.. Siri kubwa..


And hii sio hadithi.. Ni facts na research
 
Dah kweli ukikaa karibu na uwaridi lazima unukie, nimeisoma naona shemela umeanza kuiva kwenye hizi mambo kama The Bold....afu naomba na mi muwe mnanitag
Asante bro kwa pongezi..hakika ukiwa karibu na waridi lazima unukie.. mambo ninayoyajua sasa mengine sikuwahi kuwaza kuwa nitakuja kutajua..

Nimekuongeza kwenye taglist
 
Ila hizi story sikuhizi kaka haweki sana,sijui kwanini.Shemu naona umeanza kumbadilisha kaka tabia taratibu.
 
Ila hizi story sikuhizi kaka haweki sana,sijui kwanini.Shemu naona umeanza kumbadilisha kaka tabia taratibu.
Hutakuwa hutembelei jukwaa hili siku hizi..

Wiki jana tu ametoka kuweka makala ya The King Makers...na wiki moja kabla alikuwa amemaliza makala ya "Behind The Curtain"...

Kiujumla sasa hivi anatupia nondo frequently kuliko hapo kabla (alikuwa anawekaga once kwa mwezi hapo kabla)
 
Shemu hili jina "Bay Of Pigs Invasion" naomba umwambie mkuu The Bold aliwekee thread mana lipo humo kwenye uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…