Nakumbuka nilikua naumwa macho siku flani miwani yangu iliisha nguvu
nikatoka ofisini mpaka pale NHC house kumuona mtaalamu wa macho maana nilisikia sifa za uzuri wa flem zao
Kufika pale Dr mwenyewe ndio huyu mpenzi wangu back then tulisoma wote primary sio siri nilimpenda ghafla ilichukua muda ila nashukuru alinielewa
Nataraji kumuoa mwakani mwezi wa 4