Ulimbukeni wa ndoa

Nyumbani situlii na mamii,
Zangu ni mavijiwe na kina nanii,

Mke wangu yupo home nguo anafua,
mi niko gest furani zangu navua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajali wazazi wa mke kwani ni kazi yake, havai Kwa heshima ivi wanaume tuu ndio wanatakiwa kuvaa Kwa heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenipata number 8 tu but zingine zote nipo vizuri kutimiza wajibu wangu kama baba
 
Zote nakubali hiyo ya kuzini nje ni muhimu kupata vitu vipya nje ili usimchoke mke wako kuzini kuna faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…