Ulimbukeni wa ndoa

Mkuu wapi biblia inazuia mwanaume kuwa na mwanamke mwingine zaidi. Ukinipa icho kifungu wallaah nakupa laki moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa ukweli kuwa --- wote wawili mkiheshimiana, mkawa marafiki ndoani.......mtafurahia.....hakuna kutupiana mpira.......ila nyie wanawake ni wasumbufu......hata mfanyiwe nini.....EVA na bustani yenye kila kitu...na mme wake ADAM, but alifanya upuuzi unatutoa jasho mpaka milele........
 
Ni kweli, mwanamke haridhiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mwishoni ungeandika jina la mwandishi ulimkopia kazi yake. Tujifunze kuheshimu waandishi. Umekop kwa Irene Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malizia

11. Hanywi bia wala wine; saikolojia yasema mtu huyu anafaa kufuma vitambaa na kina mama[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye namba 4 apo 🤕 wengi wana dharau labda ubahatishe
 
Very nice message sent.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…