Ulimbukeni wa ndoa

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]SAWA[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]

Kwa hiyo dogo umeamua unipayukie?
 
mwenyezi Mungu aniepushie mwa
Mungu aniepushie mwanaume mjinga anayekua akili tu.
 
We endeleza dharau zako Lakin huo Ndiyo ukweli hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja
Lazima tuwafanye ipasavyo
Ukija kwangu lazima nikupime vipimo vyote Ndiyo nikutie
Kwa hiyo jiandae one day nataka tupige show Sawa?
Kwahiyo kwako ukweli ni kile akili yako ndogo inachowaza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ndio chanzo kikuu cha kuvurugika kwa ndoa nyingi, huu ni ukweli ambao wengi wao wanaupinga. Ila kwa kiasi kikubwa wanawake wanapigania sana ndoa zao, lasivyo ndoa nyingi sana zingeshavunjika. Mwanamke na aheshimiwe daima.
Acha kudngnya nakuwapa wanawake wenzio ushindi wakati ukweli mnaujua sema wote wanaume na wanawake wanashida ndio wavurugaji wa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaheri.
Ujinga mzigo.
Hivi Kati ya sisi wanaume na Nyie nan wajinga??
Kama Sio kiherehere chenu na tamaa kama fisi unakubalije kupewa bia moja au chips yai unavua chupi??? Wanaume wajanja Ndiyo wanatumia ujinga wenu kuwatomba mpaka mjitambue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…