DuhWanaume ndio chanzo kikuu cha kuvurugika kwa ndoa nyingi, huu ni ukweli ambao wengi wao wanaupinga. Ila kwa kiasi kikubwa wanawake wanapigania sana ndoa zao, lasivyo ndoa nyingi sana zingeshavunjika. Mwanamke na aheshimiwe daima.
Wanaume ndio chanzo kikuu cha kuvurugika kwa ndoa nyingi, huu ni ukweli ambao wengi wao wanaupinga. Ila kwa kiasi kikubwa wanawake wanapigania sana ndoa zao, lasivyo ndoa nyingi sana zingeshavunjika. Mwanamke na aheshimiwe daima.
Ulichoandika yaani umepigilia msumari nilichokisema.Mwanaume hawezi kuwa chanzo cha kuvurugika kwa ndoa ikiwa atamwoa mwanamke anayejitambua, tatizo lenu mnataka kila mara ujue nyendo za mumeo, ujue mawasiliano yake, acheni hizo we angalia haki zako zinatimizwa hayo mengine muachie mwenyewe.
Ulichoandika yaani umepigilia msumari nilichokisema.
Kama unajijua bado una nyendo zako ulioa ili iweje? Subiri kwanza hadi utakapoelewa maana ya ndoa ndio uoe.
Hivi kwanza nazungumza na mvulana au mwanaume? How old are you?Mwanaume anaoa ili kuwa na mwenza wa kumlindia nyumba na kulea watoto, usije ukadhani tunapoamua kuoa basi umependwa sana hapana kuolewa kwako kuone kama bahati jiulize kawaacha wangapi wazuri wa haja akaamua akuweke wewe ndani kwae? Na nyie mkiolewa mnaanza kuleta amri zenu zisizo na kichw wala miguu, ndo maana tunaendeleza nyumba ndogo.
Maandishi makubwa wanasema ni KUROPOKA[emoji13][emoji13][emoji13]ni kweli dogo?Andika kwa herufi ndogo mama.
Hivi kwanza nazungumza na mvulana au mwanaume? How old are you?
Maandishi makubwa wanasema ni KUROPOKA[emoji13][emoji13][emoji13]ni kweli dogo?
Kwan akifanya huko nje anakiacha si anakuletea na wwHivi kwanza nazungumza na mvulana au mwanaume? How old are you?
Haina haja ya kuangalia profile, maandishi yako yanakuelezea vyema kabisa. Pole yake mwanamke mwenzetu.We angalia profile JF nilianza lini hafu ujue unayejibishana nae ni nani
Mungu hakukosea aliposema "hana akili kabisa". Mmethibitisha hilo.Kwan akifanya huko nje anakiacha si anakuletea na ww
Achen wivu wa kijinga bas
Mlivo wengi hivi unafikir hao wengine hawahitaji huduma ya sex??
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha matusi wewe mkojoa kwa kuinamaHaina haja ya kuangalia profile, maandishi yako yanakuelezea vyema kabisa. Pole yake mwanamke mwenzetu.