Ulimbukeni wa mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimbukeni wa mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tmasi de masio, Oct 15, 2012.

 1. t

  tmasi de masio Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hivi ni busara mwanaume anapomlazimisha mpenzi wake abadili namba baada ya kuanza uhusiano? Jamaa alikataliwa na mpenz wake akaamua kumchafua fb akatupia status "mm ni msichana vivian natafuta wanaume wa kucheza nao picha za ngono aliye tayari apige mamba 07190000000" ,tupia mawazo yako
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  huyo ni mwanaume au wakiume?
   
 3. t

  tmasi de masio Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hujaelewa nn?
   
 4. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  we mbona leo haueleweki,upo upo tu!mara mapenzi mateso huku tena ulimbukeni wa mapenzi,hala habari zote haziendani na maelezo unayoeleza!
   
 5. piper

  piper JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Siyo mwanaume ni gubegube
   
 6. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Magubegube
   
 7. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Asibadilishe number tuu ambadilishie na cm ndio atakua mwanamme hapo bado gumegume fungu lakukosaa...
   
Loading...