Ulimbukeni wa Mapenzi.

unajua mara nyingi watu kabla ya kuwa na hela wanakuwa na mademu ambao kisema kweli sio chaguo lao ila ni kwamba wanataka punguza nyege tuu.....sasa akishapata hela anaweza kuwapata wale ambao moyo kweli unapenda ndio hapo sasa anaona kuwa huyu alienae hayupo tena katika hadhi yake.
pili ni kwamba wakati huna mbele wa nyuma wanawake wanaokutaka ni wachache sana. sasa ukoshapata hela na wanawake nao wanaanza kujileta wenyewe kwako sasa mwana unaona ngoja ni chakachue tuu kama magoma yanapanua yenyewe. it gives u a sense of power kiwa unaweza mfanya mwanamke na akili zake akupe uch* just for money

si kweli kuwa hakuwa chaguo lake lile ndo pendo la ukweli na sio vichangudoa uchwala vinavyokufuata kwa sababu vinasoma alama za nyakati kuwa kuna mshamba/wakuletwa kaokota bingo.km kweli ndo machaguo yako kwa nini usitulie na mmoja utembeze tupu yako kwa wanawake mji mzima?
 
kwa sababu wanawake wanatoa papuchi kwa wanaume wenye hela. papuchi for sale.
 
Back
Top Bottom