Ulimbukeni wa Mapenzi.

Penelope

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
713
641
WanaJF,,
.Nimekua nikiona hali tofauti za wanaume(tabia) zao zinapobadilika kutokana na hali ya kifedha.Pindi mwanaume anapokua kwenye hali ya kawaida kifedha tabia zake kwenye suala la mapenzi hua anakua ametulia kwa kiasi fulani,na hata kama ni kwenye ndoa basi kunakua na Amani na Uaminifu.
Sasa basi;
Mambo yanapobadilika na kuweza kufanikiwa kushika hela za kumtosha,hapo ndo shetani anapotawala,hakuna mwanamke atapita mbele yake asitake kua naye,dharau hata kwa mke wake na kumuona si lolote si chochote na mambo mengine ya kuvuruga Amani,
Maoni yenu plz
 
Vumilia tu na uwe mtii ndio sifa ya mwanamke mwema!

Hivi huu mtazamo ni sahihi kweli?Ina maana wanawake tuwe kama maroboti ama?Coz hata sisi tunamiili ya nyama kama wanaume hatuna tofauti sema ni mtazamo wa jamii zetu tu..
 
Mwanamme kama huyo ni wale limbukeni na nimaskini wa roho alokua hajawahi wala hajatarajia kushika pesa ndio anafanya mambo hayo.
 
unajua mara nyingi watu kabla ya kuwa na hela wanakuwa na mademu ambao kisema kweli sio chaguo lao ila ni kwamba wanataka punguza nyege tuu.....sasa akishapata hela anaweza kuwapata wale ambao moyo kweli unapenda ndio hapo sasa anaona kuwa huyu alienae hayupo tena katika hadhi yake.
pili ni kwamba wakati huna mbele wa nyuma wanawake wanaokutaka ni wachache sana. sasa ukoshapata hela na wanawake nao wanaanza kujileta wenyewe kwako sasa mwana unaona ngoja ni chakachue tuu kama magoma yanapanua yenyewe. it gives u a sense of power kiwa unaweza mfanya mwanamke na akili zake akupe uch* just for money
 
ndo maana wanawake wa siku hizi wanataka mwanaume tayari amejijenga, keshalimbuka vya kutosha......

Nani anataka kulalia mkeka na mumewe, wakishabarikiwa mwanaume analeta kiburi, na kukitembeza kifanyio chake kila mtaa?
 
sio yeye ni pesaa ni pesaa ni pesaa yeye zinazomsumbua eeeeeeeeee hilo shahiri la Rwiza Mbutu kwenye wimbo wa Twanga pepeta uitwao Mtu Pesa ulioimbwa na Le general Banza stone inzi hizo. Mtu na pesa zake yeyeeeeeee. So dada muombe mungu atakusaidia ila usimwache ndoo mmeo huyo
 
WanaJF,,
.Nimekua nikiona hali tofauti za wanaume(tabia) zao zinapobadilika kutokana na hali ya kifedha.Pindi mwanaume anapokua kwenye hali ya kawaida kifedha tabia zake kwenye suala la mapenzi hua anakua ametulia kwa kiasi fulani,na hata kama ni kwenye ndoa basi kunakua na Amani na Uaminifu.
Sasa basi;
Mambo yanapobadilika na kuweza kufanikiwa kushika hela za kumtosha,hapo ndo shetani anapotawala,hakuna mwanamke atapita mbele yake asitake kua naye,dharau hata kwa mke wake na kumuona si lolote si chochote na mambo mengine ya kuvuruga Amani,
Maoni yenu plz

Penelope kuna kitu kinaitwa financial discipline ikiwa na maana kwamba binadamu anaweza kuonekana ana tabia nzuri kwa sababu hana fedha za kumfanya afanye mambo ambayo pengine ungemjua vizuri.

wapo wanawake wakipata fedha nao huwa na viburi, dharau na hadaa kwa waume zao na huanznisha maosiano kwa kila amtamaniye.

ukweli ni kuwa masikini anayepata fedha kwa mkupuo hukosa busara lakini sio kwa aliyetengeneza misingi ya fedha zake
 
Mimi kweli nimezeeka hiyo rangi ya maandishi ya kijani inanipa shida kusoma... Ngoja nikatafute miwani ya kubadilisha rangi ya maandishi yawe meusi..!
 
Message convoluted or unclear. Please clarify

Mara nyingi nimekuwa ninasema, kuna ukomo wa uvumilivu; sasa nimekuwa nikinangwa na wanaoamini uvumilivu usio na kikomo. Nenda kwenye uzi wa gfsonwin wa mwanamke bora utaona nini namaanisha. Ametoa sifa za mama bora ikiwa ni pamoja na uvumilivu, utiifu 'unconditional' na wakaka wanafurahia sana na wanadream kumpata yes sir kinda of woman ambaye anaamka wa kwanza na kulala wa mwisho.
 
Ha ha hilo jambo kweli tena wanaume wanalipenda kweli,,utasikia mke material ndo wanataka awe kama ivo,asimulize alikua wapi na akitenda kosa mwanamke asichukie bali ndo kwanza anyenyekee na avumilie,guys jamani muamke ss pia ni binadamu ati tofauti maumbile tuuuuuu.

money is the square root of all evil in the world: wana mathematician wenzangu wataproove
sio wanaume tu hata ww ukizishika unabadilika tabia moja kwa moja iwe ktk mapenzi, kujidai pamoja na majivuno
hivyo ni bora maisha ya chini yenye amani na furaha kuliko maisha ya haliya juu yaliyojazwa mateso
 
Back
Top Bottom