SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,110
- 75,564
Hapo wamekunywa matofali 2,585! Nyumba ya vyumba vitatu,sebule,jiko,vyoo inaisha!Mikoani wanajenga heshima kitandani.... Dar wanajenga bar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji100] [emoji100] [emoji100] View attachment 847077
Jr[emoji769]
Kaka nimeona Maji ya TShs 18,000! Sio kwamba walikuwa ka group flani hivi?Ya jioni moja tuu... Tena only few hours...
Jr[emoji769]
Maji madogo 2000/- chupa....yale kwa Mangi tunanunua 500/-Kaka nimeona Maji ya TShs 18,000! Sio kwamba walikuwa ka group flani hivi?
Itakuwa kaka! Sio bure!Haya maji nadhani yana upako fulani wa ndele mvuto ngekewa na vumbi la Kongo .,. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jr[emoji769]
Mm nahisi ni kati ya watu wa4 hadi 6Hiyo picha toka jana naiona samahan niulize huyo ni mtu mmoja au nigroup la watu, napia hata hiv inaweza ikawa bill ya siku moja kweli? yaani kila nikijuuliza sipat majib Sent using Jamii Forums mobile app
Status (quo) ? Class(fied)? Xcluziv(ness)? Au ulimbukeni... Ile tunasema mswahili alipata matako hulia mbwata (mbuu, mbuu, mbuu,....) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nahisi ni kati ya watu wa4 hadi 6
hi Samaki samaki wanaisifu sana huko beach
mfano maji ya DASANI naona ni chupa kubwa 5 2000 = 10,000
kwa bei za wakujaView attachment 848217
Daa kweli tuko tofauti, bas hata wimbo wa vyuma ni kudanganyanaYa jioni moja tuu... Tena only few hours...
Jr[emoji769]
mshana jr
Sex on the beach Tshs 50000/= ni soda gani hiyo?? Au ni chakula kigeni ???
Eti unawaza mjengo kwani utazikwa na nyumba wewe tumia pesa ili ukifa bar uache pengoHapo wamekunywa matofali 2,585! Nyumba ya vyumba vitatu,sebule,jiko,vyoo inaisha!