Hakuna kushambuliwa kwa technology ya Jamii Forum.Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
mtupage taarifa wengine nusu tupararaiz kwa kukosa jf[emoji19][emoji47]Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!
Sakayo i miss you... Call emyta for me... I miss her tooNipo hapa Mimi
Habari za wewe jamani
mtupage taarifa wengine nusu tupararaiz kwa kukosa jf[emoji19][emoji47]
Siku nyingine mkiona kuna hatari inakaribia kutatiza Huduma za mtandao wenu ni muhimu mkatoa taarifa mapema.Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilukuwa ghafra dada usilaumu sana hahahaha, ila kweli mpaka sasa isingerudi kuna watu kesho wangeenda kupimwa malaria hewa kumbe ni stress za kuikosa jamii forum
ππmtupage taarifa wengine nusu tupararaiz kwa kukosa jf[emoji19][emoji47]
@ukhuty mambo nimekumiss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DaΓ ah!Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Acha tuu yaani,.dah!!!Sema neno
.....ππ
jamani upo muosha rungu[emoji7][emoji7]nami pia nimekumiss mbon hatukutan kijiweni siku hizi@ukhuty mambo nimekumiss
Nilikuwa bize na maandamano ila sasa nitapatikanajamani upo muosha rungu[emoji7][emoji7]nami pia nimekumiss mbon hatukutan kijiweni siku hizi
tunakumiss sana ujueNilikuwa bize na maandamano ila sasa nitapatikana
Niko navuna mpungatunakumiss sana ujue