Ulikuwa wapi?!

Mwenye picha ya Pawa Mabula please
 
Ulikuwa wapi wakati Tukuyu stars na beki wao mahiri kabisa Godwin Aswile walipoitesa Ligi daraja la kwanza
 
Ulikuwa wapi enzi hizo mwamba?
Hahahaha hiyo 87 yenyewe ilikuwa bado sijazaliwa ...ila kwa kuwa nimpenzi sana wa burudani sikuwa kuwa nyuma nikawa nawafuatilia hao manguli kwa kupitia legacy zao
 

Nani anakumbuka Jinsi Wakemia walivyokuwa wakiliokoa taifa
 

Attachments

  • 201322783754686489_8.jpg
    101.6 KB · Views: 9
  • bwtk4crm0ulgzslirg5c3b6f1a111b0.jpg
    90.2 KB · Views: 7
Hahahaha hiyo 87 yenyewe ilikuwa bado sijazaliwa ...ila kwa kuwa nimpenzi sana wa burudani sikuwa kuwa nyuma nikawa nawafuatilia hao manguli kwa kupitia legacy zao
Daah!! yaani uhondo umekupita
 
Ulikuwa wapi Sikoine alipobanwa na
mlango? Halafu tukalazimishwa tulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…