Ulikuwa wapi wakati Mwalimu mchonga alipotoa hio speech ilivyokuwa inaogofya hasa kwenye dudu proof
Tulijazana kwenye radio huku roho zikitudunda baada ya hio speech tukaenda kwa mama muuza tukapiga mzinga mzima na kuanza kumlaani Nduli Iddi Amini Dadaa