Unajua kipindi hicho tulikuwa tukishalewa tunaanza kuyarudi magoma huku tukilia sana kwamba Tunamkumbuka MandelaDar, magomeni kagera,
Chico alitisha sana sikiliza nyimbo kama I need some Money,we can dance na G-string
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifikiri "We miss you Manengelo" kumbe we miss you manelo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa Nyarugusu Geita wakati huo ni mkoa wa Ng'wanza
Noti zilikuwa zinanimwagika
@Manengelo uko wapi swahibaNilifikiri "We miss you Manengelo" kumbe we miss you manelo [emoji23][emoji23][emoji23]
At that time I was couple of years about 5 to six. Chekechea [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kama kawaida Nyakagwe. Ukipata pesa unavuka mto unaenda Kakola.chagu wa malunde Mzee wa nyakagwe ulikuwa wapi?
Enzi hizo Mimi Niko Buziba.
Mimi nilikuwa Nyarugusu Geita wakati huo ni mkoa wa Ng'wanza
Noti zilikuwa zinanimwagika