• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
15,958
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
15,958 2,000
Ilianza hiviii.....

2207684_IMAG2172.jpg


Mvua njoo katarina usijee....

Mtu akafungwa kitambaa usoni tayari kwa kutekwa...

Nilimfungua kitambaa baada ya mlo kuwasili mezani, muda wote huo alikuwa anapata mabusu tuu bin dendraaazzzz eeheheheheheeee
Kasie mie, ngoja nipunguze vurugu.

2207692_IMAG2175.jpg


Mahaba ya Kihindi ya kulishana hayakuwa mbali...

Nilishe Captain wangu, ioneshe Kweli tunapendana eeh, nilishe nikulishe... Ni ishara ya upendo ooohh basi nilikuwa kama Kinda la ndege, namwambia Captain nimeshiba... yeye ananilisha tuu uuhhh sikuvimbiwa ila sikuacha kupokea nlichokuwa nalishwa...

2207698_IMAG2176.jpg


Na usiku Matata na Captain uliishia hapaa.... (inahifadhiwa).

Kumepambazuka hiviii....

2207715_Screenshot_2019-11-09-10-53-46_1.jpg


Hali ya hewa safiii......


Thank you Captain for the date, the slow motion thing....

Kasinde Platinum Matata.
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
15,958
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
15,958 2,000
Upepo wa kisulisuli unashawishiwa kivingine.
Haina kisulisuli hii KJ, hii ilianza na vuli sasa na kuendelea ni mavuno tuu ije jua inyeshe mvua ni mavuno tuu in slow motion

Kapteniiiiiiiiiiiii wuuuhuuuuuuu....
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
9,369
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
9,369 2,000
Nami nilipize kisasi.. alikuwa mwanamke wa haja aliesimama mbele yangu!, tabasam lake jepesi lilitosha kuuhusudu ubishi wangu na kunifanya nipeperuke kwenye ulimwengu wa mahaba.

Alikuwa utupu mbele yangu!! Hili tu lilitosha kunitia wazimu hata kulisahau neno "hapana"!

Huku nikiwa nimeshikwa na bumbuwazi, taratibu alijisogeza mbele yangu huku akiitafuna midomo yake katika namna ya ya kudeka!

Macho yake malegevu nayo hayakuwa nyuma yalilembuka kana kwamba hayakuonja usingizi Karne 4 zilizopita.

Alikuwa ni yeye alienza kwa mabusu motomoto tena yenye joto,yaliyomshtua kambale na kumfanya ajitokeze kwenye umati wa watu hawa wawili.

Ulikuwa ni mchezo wa nipe nikupe!,uzuri wake malidadi ulinifanya nitutumke tena na tena hata kulisahau lile neno "kuchoka"๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
15,958
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
15,958 2,000
Mvua ya kisulisuli
Ahahahahaaaaa sukariiiii acha tuu ilaa..

Bado sauti inanijia akilini alivyokuwa ananong'ona sikioni mwangu.....
you can take, you can take, you can take your time baby.... In slow motion wuuuhhhh najikuta tuu kimesimama in wettywetty condition.....

Weeeh sukari mambo, hivi kisulisuli ndo nini nasikia tu watu wanaandika humu mmoja wao ni wewe.....

Usiku Matata na Captain ulitendewa haki.... In slow motion....
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
15,958
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
15,958 2,000
Nami nilipize kisasi.. alikuwa mwanamke wa haja aliesimama mbele yangu!, tabasam lake jepesi lilitosha kuuhusudu ubishi wangu na kunifanya nipeperuke kwenye ulimwengu wa mahaba..
Alikuwa utupu mbele yangu!! Hili tu lilitosha kunitia wazimu hata kulisahau neno "hapana"!!,huku nikiwa nimeshikwa na bumbuwazi, taratibu alijisogeza mbele yangu huku akiitafuna midomo yake ktk namna ya ya kudeka!,macho yake malegevu nayo hayakuwa nyuma yalilembuka kana kwamba hayakuonja usingizi Karne 4 zilizopita.
Alikuwa ni yeye alienza kwa mabusu motomoto tena yenye joto,yaliyomshuta kambale na kumfanya ajitokeze kwenye umati wa watu hawa wawili.. ulikuwa ni mchezo wa nipe nikupe!,uzuri wake malidadi ulinifanya nitutumke tena na tena hata kulisahau lile neno "kuchoka"๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ
Aahahahahahaaa KENZY mbona kama umenidiskraibu mimi vile eheheheeeeee

Hapana chezea Mahaba Matata in Slow motion......
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
9,369
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
9,369 2,000
Aahahahahahaaa KENZY mbona kama umenidiskraibu mimi vile eheheheeeeee

Hapana chezea Mahaba Matata in Slow motion......
Kama huyo kaptein ni Mimi Basi jua ni wewe lakini kama huyo kaptein si mimi basi huyu niliyemdiskraibu hapa atakuwa ni chepuko langu la nguvu.!!๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ๐Ÿƒ
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
15,958
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
15,958 2,000
Kama huyo kaptein ni Mimi Basi jua ni wewe lkn Kama huyo kaptein si Mimi basi huyu niliyemdiskraibu hapa atakuwa ni chepuko langu la nguvu.!!๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ๐Ÿƒ
Aahahahahhahaaa Kenzy, wivu utakuzeesha eehehehehe
Unafikiri mimi nna wivu basi, mie wivu sina najua kutoka mahaba tuu aahahahahaa

Matata K.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
53,075
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
53,075 2,000
Hahaha haya Kasie Kasinde

Ahahahahaaaaa sukariiiii acha tuu ilaa..

Bado sauti inanijia akilini alivyokuwa ananong'ona sikioni mwangu.....
you can take, you can take, you can take your time baby.... In slow motion wuuuhhhh najikuta tuu kimesimama in wettywetty condition.....

Weeeh sukari mambo, hivi kisulisuli ndo nini nasikia tu watu wanaandika humu mmoja wao ni wewe.....

Usiku Matata na Captain ulitendewa haki.... In slow motion....
 
kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
4,327
Points
2,000
kanali mstaafu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
4,327 2,000
Mtatisababisha kupiga puli bure tu..
 

Forum statistics

Threads 1,406,705
Members 532,424
Posts 34,524,176
Top