Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Niko single kwa hiyo nikiona hivi naona wivu
[emoji125][emoji125][emoji125]


Eehehehehe pole, humu wanaume wanaojielewa wapo wengi tuu, make life simple jikamatie wako kula raha. Kuumia roho na wivu kunapunguza umri wa maisha...
 
Zee kahaba

Ndo kazi nnayoweza kuifanya ili niishi mjini kuliko niwe matonya, vipi umejuaje ajira yangu au na wewe ulishakuwa mteja wangu...!!??

Kigagula Kasinde.
 
Back
Top Bottom