Ulikuwa Unashika Nafasi ya ngapi darasani

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtaji bado unanesa nesa mkuu ukiisha kabisa nitakuja kuomba mnichangie maana hizo totozi si mchezo na kuziacha ni Dhambi
i hope zitakutoa tu tena ukizingatia Dom imekuwa jiji 70k hukosi per day
 
Lakin sifuri ungesoma ungeajiriwa au kujiajiri hizo chips zako ungefungua ungeweka wafanyakazi ww kazi yako kuangalia maendeleo ya biashara ama
 
i hope zitakutoa tu tena ukizingatia Dom imekuwa jiji 70k hukosi per day
Hakika mkuu namshukuru mungu napatapata licha ya chura nao kucheza karibu na bwawa langu lakini nakomaa nao kiubishi.
 
Hakika mkuu hii changamoto wengi wamepitia wazazi wengi wameua ndoto za watoto wao bila wao kujua
Yaani nilikuwa napambana sana hasa shule ya msingi nilipokuwa na uangalizi walikoma sana wenzangu.

Namba kubwa niliyoshika msingi ni 11 baada ya hapo nikawa nacheza namba zote hadi ya De Gea.

Sekondari nikaanza kuvaa jezi za Seria A, unakuta jezi ina namba 99, 98 n.k
 
Lakin sifuri ungesoma ungeajiriwa au kujiajiri hizo chips zako ungefungua ungeweka wafanyakazi ww kazi yako kuangalia maendeleo ya biashara ama
Mkuu kibanda changu cha pili nimeajiri vijana wawili wanapiga kazi kimoja hiki nakomaa mimi na dogo langu kuna tatizo kwani nami si naitwa boss na wale wawili .
 
1...9....10....24....11
Mimi moja nilikamata mara moja nikiwa tu Darasa la saba ila kwa tofauti ndogo sana ya alama na aliyekuwa ananifuata.

Alikuja mkenya mmoja anasoma kama vile katumwa na jamhuri ya watu wa Kenya aje kusaka utajiri kupitia elimu.
 
Aminaaa
 
Hiyo moja nliwahi kushika Mara moja tu darasa la nne Hahahahahaha baada ya hapo ni kumi bora sec nikafika mpaka 24 huko kwakweliii ni aibu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ninachoshukuru mungu aliniumba na akili za kufikiri japo nina uzero IQ nilikuwa nasoma kidogo lakini nikiingia kwenye pepa nabukua
 
Safi kabisa mkuu cha muhimu unaishi kwa furaha na amani
 
Mkuu kibanda changu cha pili nimeajiri vijana wawili wanapiga kazi kimoja hiki nakomaa mimi na dogo langu kuna tatizo kwani nami si naitwa boss na wale wawili .
Utanipa location siku moja nikutembelee.
 
Mkuu muulize Papaa Mobimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…