Ulikuwa kiranja gani shuleni enzi unasoma msingi?

La kwanza mpaka la nne monitress
La tano mpaka la saba nimesahau hata nlikua kiranja wa nini.
Form one kiongozi wa chakula
Form two kiongozi wa nidhamu
Form 3-4 secratary wa shule
Form 5-6 kiongozi wa starehe.
My nimependa Picha yako apo
 
La Kwanza monitor mpaka la tatu la tano kiranja wa kijiji cha motomoto , la sita kiranja kijiji cha ujamaa la Saba bwana afya ,
 
Probably mkuu,
maana hawa dada na kaka mkuu shule nyingine wanaangaliaga wababe
Yawezekana dada alikuwa babe lao
Hahahhaahha mkuu mi sikuwa mbabe ila kichwani nilikuwa vzr. Halafu nilikuwa na kamwili kadogo kadogo.
 
Mwanaharakati kitambo sana napambana na makonda wa vipanya from Segerea to Bunge Primary ! Sikupenda kuwa kiongozi maana ni kujipendekeza na u puppet juu.
 
Back
Top Bottom