Ulijuaje unadate na wakishua

ACHA nisome Comment maana sijawahi kutana na hiyo scenario
 
Mkasa upi mkuu
Mwanangu nshawi kukutana na pisi miaka flani ya 2015 au16 hv, niliazma gari kwa bro appointment ikawa mlimani city, pisi ikataka ice cream nikanunu, ikataka na viujinga ujinga snacks za hapa na pale nikanunua, dakika za majerui nikawa napiga hesabu naona hela nlobaki nayo haitoshi hata kurudishia mafuta ya watu, ile frustration usoni kwangu haikufichika. Demu alijiongeza akanipa kadi yake ya bank akanambia katoe hela chap.
 
Mimi sikua napenda changamoto mkuu vitu vyangu vilikua ni beki tatu zetu πŸ˜…
 
Wakishua wa zamani ilikuwa kweli ila wa siku hizi ni wasanii ,waigizaji na maslay queen wanaigiza ukishua ila wakiumwa wanaanza kutia huruma wachangiwe hela wakatibiwe .

Respect sana watoto wa obay, watoto wa keko waliamua kuendekeza ngeta kwa kudhani kila wa kule ni wa kishua kumbe wengine wazazi wao ni wa mara musoma huko hawaishi maisha mapya ya uzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…