Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote
iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,
"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Viazi sana hao mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah!! Mkuu pole sana Hawa viumbe Divyo walivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah!! Mkuu pole sana Hawa viumbe Divyo walivyoNaweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote
iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,
"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Haya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanzaMimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .
Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block [emoji2][emoji2]
Nilipoona u busy busy umekuwa mwingiMimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchart nk. Nikajua hapa Sina changu .
Sikumoja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaisha nilamba Block [emoji2][emoji2]
Duuh!! Mkuu pole sana,Haya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanza
1.mawasiliano ukimtumia text inavyojibiwa
Kikawaida sio kimahaba tena kama zamani
2.mkiongea kwenye anaongea kwa hasira hasira kila saa analalamika sijui hivi Mara vile mara mwanaume wewe hivi Mara vile
3.kitu kidogo mnagombana na ugomvi wake sio wa kitoto alafu kauli zake kila saa kama umenichoka niambie, Mara sikulazimishi kuwa na mie, Mara upendo wangu kwako umepungua,
4.maji yalivyonifika shingon nikalileta hili jambo jf comments nilizoshauliwa niachane na Huyo mwanamke ameshakuchoka na ukiendelea kumfata fata utaumia zaidi
5.mwisho wa siku niliamua tuu kupotezea niendelee na maisha mengine na demu nae akanipotezea baada ya week mbili alivyogundua nimempotezea alinitext usiku wa manane Mimi na wewe basiii sikumjibu chochote hata simu zake sikuzipokeaa
6.baada ya miezi sita kupita aliniatafuta kuniomba turudiane ila alikuwa kachakaaa kinoma noma
Inapendeza, adui muombee njaaHaya mambo Mimi yamenikuta siku chache zilizopitaa kitu nilichogundua hapa nimeshaachwa ila najilazimisha kwanza
1.mawasiliano ukimtumia text inavyojibiwa
Kikawaida sio kimahaba tena kama zamani
2.mkiongea kwenye anaongea kwa hasira hasira kila saa analalamika sijui hivi Mara vile mara mwanaume wewe hivi Mara vile
3.kitu kidogo mnagombana na ugomvi wake sio wa kitoto alafu kauli zake kila saa kama umenichoka niambie, Mara sikulazimishi kuwa na mie, Mara upendo wangu kwako umepungua,
4.maji yalivyonifika shingon nikalileta hili jambo jf comments nilizoshauliwa niachane na Huyo mwanamke ameshakuchoka na ukiendelea kumfata fata utaumia zaidi
5.mwisho wa siku niliamua tuu kupotezea niendelee na maisha mengine na demu nae akanipotezea baada ya week mbili alivyogundua nimempotezea alinitext usiku wa manane Mimi na wewe basiii sikumjibu chochote hata simu zake sikuzipokeaa
6.baada ya miezi sita kupita aliniatafuta kuniomba turudiane ila alikuwa kachakaaa kinoma noma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!! Pole sana mkuuMimi niliona mawasiliano yanapungua kuuliza akaniambia tutakuja kuongea. Asubuhi sa 11 niliamshwa kwa kibuti.
Kinachoniuma tupo ofisi moja na ss yupo likizo akirudi sijui maisha yatakuwaje ya kazi. Kufanya kazi na ex wako afu ulimpenda inaumiza.