Acha kulialia huko hewani njoo kwangu kwenye basement ule matunnda habari za kuwa hewani tupa kule akyanani ukiwa na mimi utawaza tena habari za hewani.
Najua wahitaji wakukuvusha kutoka hapo ulipo hewani
Ila anayeenda hewani anatakiwa awe hayawani kwani hewani lazima uwenakifaa cha kwenda hewani.
Nilihisi wanitaja mimi kwani nilisikia hewani,namashahiri yako yakienda hewani nikajiona naelea hewani
tafadhari nakuomba utoke hewani,mimi nimeishakata shahuri lakukutoa hewani.
Naomba uwemkweli juu yangu kwani naona pm zako zinaishia hewani,nabaki nikiwa hewani
Tafadhari nakuomba ulionao hewani naomba watue mioyo yao kwa
#Teambazazi hiliyoko hewani kama kiatu cha jordan air
Nafunga nakutuma mashahiri yangu hewani ili yawezekukufikia hapo ulipo hewani!