Ulijuaje kama unastress; Nasoma comment

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
442
Reaction score
1,091
Mimi kuna siku nilishuka kwenye boda na helment kichwani nikapitiliza nayo kwenye daladala, ile nimekaa nashangaa kila mtu ananiangalia tu ndo mmoja akaniuliza mwenzetu vipi na helmet kichwani, nilishtuka sana 😒

Pale ndo nikajua kuwa nina mawazo

​
 
Duh kuna siku niliingia class na mswaki mfukoni! Nilisahau tu kuutoa baada ya kupiga mswaki. Kuna fala akasema haya maisha yana stress sana mpaka watu wanatembea na miswaki! Nilijua kuwa ananiongelea mimi nilipofika nyumbani na kuuona huo mswaki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…