Uliifahamia wapi jf kwa mara ya kwanza hadi ukajiunga??? Funguka....

Msolid1990

Senior Member
Apr 2, 2012
144
49
Mimi nilikuwa mara nyingi nikigoogle ili kusoma vitu vingine navyotaka nakuta naambiwa niweke username au nifanye registeration ndo niweze kufungua. so siku moja nikaamua kujirejista niliyoyakuta ndani yakanishikia humu hadi leo. Lol!! sijui hii limbwata ya jf itaisha lini niondoke zangu.....
Jamaa yangu mmoja ye kaniambia alihadithiwa shuleni kwao akaamua kujiunga...
Najua hukujikuta tu jf from nowhere ebu funguka na wewe.
 
Nilikua naisikia from diferent people around akiwemo mama lwakatare bungeni lol! But aliyeniconvice is one of my friends ambaye ni member wa long time humu..
 
niliijua toka ikiwa jambo forrum, ila nikaja jiunga juzi kati ikiwa jamiiforums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom