Yule fala aliniita, akanambia mara ya mwisho tume$3x ulimwagia ndichi..mi naona mabadiliko mwilin. Nikaenda kununua UPT chapu akaweka haja ndogo baada ya muda tukaona results alikuw tayari kanasa.
Binafsi nilifurahi sana, lakin yeye kumbe anawaza mengine! Akasema anataka kutoa, akatoq sababu kwamba yeye bado hajapata ajira aliyosema na mim bdo nipo chuo halafu mwaka wa kwanza. Kwahyo bora nikubaliane nae atoe ili tujipanga yeye akipata ajira ya uhakika ndo tufanyr ivo tena.
Sikukubaliana mana sikuona mantiki kwene sababu yake. Mana pamoja na mimi kuwa mwanafunzi bado nilikua nafanya mishe za kuniingizia kipato kiduchu.
Aliondoka tukiwa tumegombana, baada ya hapo hakunitafuta mpaka baada ya wiki mbili akanambia tayari asha abort! Kila nikikumbuka ile moment naumia hadi leo, mwisho wa siku ikabidi nikubali tuu kwamba haikuwa rizik yangu. Nikaja kukubaliana kuwa mimi nayy tulikua na mipango tofauti! Yeye hakuwa tayari kuzaa kipindi kile ambitions zake zilikua muhimu zaidi kuliko mtoto.
Yalitokea mengi hapo katkati lkn tulishaachana, na baada ya kuachana nikaja kugundua kuwa pamoja na kwamba alikua ananipenda lakin hakuwa proud na mimi. Hakuwa na uhakika kama anatakiwa kuzaa na mimi au laa, au kama anaweza kufanya wazazi wake wajue kuhusu mimi au laa huku sababu kubwa ikiwa ni kigezo cha umri