Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 817
- 3,606
U-BIN-ADAM kazi.hivi ni kweli unamtendea mtu Mtu wema anaamua akudhalilishe, anakulipa mabaya
Tupe mkuuUsikopeshe mtu pesa yako
Njia zilizopo tunazozifahamu zinaweza zisiwe rafiki .
Ila ukipenda utapewa
Pole sana
Na wewe tafuta mnyonge wako umkope ๐ata hivyo ni kipindi cha nyuma na nimejifunza kitu
๐๐ soon nitampataNa wewe tafuta mnyonge wako umkope ๐
Soma vizuri. Ni kiasi kile kile lakini watu tofauti.huna akili
unaleta usamalia wema kwenye vita, kasha kuonesha tabia yake awali alafu unarudia kumpa hela
yaan wewe ni wa kudhurumiwa na nakuombea udhurumiwe zaidi ya iyo na iwe tena na tena hadi utakapo pata akili
Niliinua macho juu nikashukuru kwwakuwa nilipata funzo kubwa juu ya kuishi na wanaojifanya wema kumbe wanafikiNiliwah kudhurumiwa huko nyuma,na watu ambao niliwaamini sana, walinirudisha nyuma kwasababu nilikua nafanya kazi ngumu na malipo yalikua kidogo mno sana, nilijibanaaa sana sana, nikapata kias cha pesa kama laki 6 hivi kwangu mimi kwa wakati ule ilikua nyingi sana ila nilidhurumiwa yote, na watu ambao niliwaamini sana hata leo wapo bado kwenye maisha yangu sijaweza kuwaepuka, ila Mungu atawalipa, kuna namna niliteseka sana sana ila kwa Neema ya Mungu ilipita ila sijasahau
Safari hii tena nimedhulumiwa na huyu mtu ambaye nilmfanyia jambo la upendo ila ameamua kunitendea ubaya, amenidhulumu kilekile kiasi cha pesa 600,000
Nilimpa kwa upendo atatue shida zake na arejeshe lakini kaniblock kila mahali, hii hali inanitesa sana kuna namna napata maumivu makali mnooo nikiangalia jinsi ninavopata pesa kwa shida nateseka , hivi ni kweli unamtendea mtu Mtu wema anaamua akudhalilishe, anakulipa mabaya
EE Mungu wa sifa zangu usinyamaze......daah binaadamu sisi uwiiii
Help me, O LORD my God,save me in accordance with your love. Let them know that it is your hand, that you, O LORD, have done it. They may curse, but you will bless,when they attack they will be put to shame, but your servant will rejoice. My accusers will be clothed with disgrace and wrapped in shame as in a cloak.
Pole sanaMimi Nilipata kazi G1 Security Mama Akanishauri Niweke Pesa Vicoba ili Niichukue Yote Mwisho wa Mwaka, Kwakuwa Nae Alikuwa Anacheza Nikaamini Nikawa naweka Mshahara wangu Wote Masikini. Wale Viongozi Pesa Wakaila, Wengine Wakakimbiaa Mama Yeye Alikopa Hivyo Walimalizana yaani Hakuwa Akivunja, Sisi Ambao Hatukukopa Tuliopaswa Kulipwa Pesa Yote Ndo Tukadhurumiwa, Niliumia Nilitamani Kujiondoa Uhai, Mpaka Nikaleta Uzi Humu,
Unajua kwanini Niliumia !? Ni kwasababu ya Tatizo Langu, Sisi wenye Usikivu Hafifu Huwa Ni Ngumu sana Kupata Kazi, Kwahyo ndo Nilikuwa Nautegemea Ule Mtaji Unitoe Kimaisha.
Ndoto yangu ya Kumiliki Duka ikaishia Hapo.
Kwasasa Nipo Nasoma Ualimu huu Mtaala Mpya Naomba Mungu Nipate Kazi.
ila kila Nikikumbuka huwa Naumia saana.
Dhuluma haijawahi kumuacha mtu salamaMimi huwa nashangaa sana walionidhulumu waliishia kwenye majanga matupu na karibu wote wameshaaga dunia. Wa mwisho alikuja kukopa dukani nguo na akagoma kabisa kunilipa. Juzi nimeambiwa jamaa yuko jela kwa makosa mengine. Kuna dogo nilimuachiaga ofisi akauza vitu hadi leo hii hajawahi kukaa kwenye ajira akatulia hata mwaka. Ana maisha magumu.
Pold sana jamaniMimi Nilipata kazi G1 Security Mama Akanishauri Niweke Pesa Vicoba ili Niichukue Yote Mwisho wa Mwaka, Kwakuwa Nae Alikuwa Anacheza Nikaamini Nikawa naweka Mshahara wangu Wote Masikini. Wale Viongozi Pesa Wakaila, Wengine Wakakimbiaa Mama Yeye Alikopa Hivyo Walimalizana yaani Hakuwa Akivunja, Sisi Ambao Hatukukopa Tuliopaswa Kulipwa Pesa Yote Ndo Tukadhurumiwa, Niliumia Nilitamani Kujiondoa Uhai, Mpaka Nikaleta Uzi Humu,
Unajua kwanini Niliumia !? Ni kwasababu ya Tatizo Langu, Sisi wenye Usikivu Hafifu Huwa Ni Ngumu sana Kupata Kazi, Kwahyo ndo Nilikuwa Nautegemea Ule Mtaji Unitoe Kimaisha.
Ndoto yangu ya Kumiliki Duka ikaishia Hapo.
Kwasasa Nipo Nasoma Ualimu huu Mtaala Mpya Naomba Mungu Nipate Kazi.
ila kila Nikikumbuka huwa Naumia saana.
Ndo ukakataa kunipa 20k ya kutoa rejesho ๐๐คPale ninampomdai mtu halafu akaleta kichwa ngumiu Mimi hubadilika na kuuvaa u-pididy kisha humgeuza ninayemdai aitwe Mr Upinde.
I often do that, It's so dangerous to play with my money.
Hahahaha ๐คฃ hahaha ๐ hapana mkuu niliipata dharuura nikaitumia. Nikipata nitakutumia, please kuwa na subira everything is going to be alrightNdo ukakataa kunipa 20k ya kutoa rejesho ๐๐ค
Hhhhhhh hukutoa taarifa sasa ๐ ๐Hahahaha ๐คฃ hahaha ๐ hapana mkuu niliipata dharuura nikaitumia. Nikipata nitakutumia, please kuwa na subira everything is going to be alright
bado una haki ya kudhurumiwa hadi akili zikukae sawa. hawa binadamu sasa hivi hawana wema unamkopa anageuka adui.Soma vizuri. Ni kiasi kile kile lakini watu tofauti.