Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,659
- 3,947
Maisha hayahitaji hurumahuruma hata kidogo bali umakini na roho ngumu... Kuliko umkopeshe mtu bora umpe kama msaada ili kuepusha maumivu na matatizo pande zote.Niliwah kudhurumiwa huko nyuma,na watu ambao niliwaamini sana, walinirudisha nyuma kwasababu nilikua nafanya kazi ngumu na malipo yalikua kidogo mno sana, nilijibanaaa sana sana, nikapata kias cha pesa kama laki 6 hivi kwangu mimi kwa wakati ule ilikua nyingi sana ila nilidhurumiwa yote, na watu ambao niliwaamini sana hata leo wapo bado kwenye maisha yangu sijaweza kuwaepuka, ila Mungu atawalipa, kuna namna niliteseka sana sana ila kwa Neema ya Mungu ilipita ila sijasahau
Safari hii tena nimedhulumiwa na huyu mtu ambaye nilmfanyia jambo la upendo ila ameamua kunitendea ubaya, amenidhulumu kilekile kiasi cha pesa 600,000
Nilimpa kwa upendo atatue shida zake na arejeshe lakini kaniblock kila mahali, hii hali inanitesa sana kuna namna napata maumivu makali mnooo nikiangalia jinsi ninavopata pesa kwa shida nateseka , hivi ni kweli unamtendea mtu Mtu wema anaamua akudhalilishe, anakulipa mabaya
EE Mungu sifa zangu usinyamaze......daah binaadamu sisi uwiiii
Help me, O LORD my God,save me in accordance with your love. Let them know that it is your hand, that you, O LORD, have done it. They may curse, but you will bless,when they attack they will be put to shame, but your servant will rejoice. My accusers will be clothed with disgrace and wrapped in shame as in a cloak.
Ulifanywa nini?Niliumia sana 😭😭
nyie ndio ma braza Sasa, mtu aki yatimba naku shitua chapu.Mtu aliniletea ukenge, nikamfanyia uMAMBA, nikamteka, nikamuhifadhi mtaani kwangu akaomba sana msamaha, ndani ya wiki atakuwa kalipa, kweli baada ya siku 2 akalipa, wakati deni langu lilikaa miaka miwili na kitu.
MUNGU YUPO HAKIKABaada ya kukosa usingizi usiku wa manane nilinyoosha mikono juu nikasema.
Eeh Mwenyezi Mungu fulani kanidhulumu, yeye anapata usingizi mimi nakosa usingizi kwakua sina cha kumfanya, Basi nakuachia wewe kwakua ndo hakimu wa haki.
Dua'atu al-muzloom la turad(Dua ya aliedhulimiwa hairudi bila majibu)
He came looking for me and asked for forgiveness.
🤣 🤣nyie ndio ma braza Sasa, mtu aki yatimba naku shituka chapu.
Hebu waombee na wanasiasa waache kutudhulumu 😊Baada ya kukosa usingizi usiku wa manane nilinyoosha mikono juu nikasema.
Eeh Mwenyezi Mungu fulani kanidhulumu, yeye anapata usingizi mimi nakosa usingizi kwakua sina cha kumfanya, Basi nakuachia wewe kwakua ndo hakimu wa haki.
Dua'atu al-muzloom la turad(Dua ya aliedhulimiwa hairudi bila majibu)
He came looking for me and asked for forgiveness.
mkuu ukarimu kupindukia sometimes unacost sana, unamsaidia mtu kwa moyo mkunjufu tena unayemuamini kabisa then harudishi hata mia zaidi atakublock na kukuepukaUlifanywa nini?
Sasa mwenye kosa ni wewe... Unaweza kukopa bank bila kuweka dhamana ya vitu?mkuu ukarimu kupindukia sometimes unacost sana, unamsaidia mtu mkunjufu tena unayemuamini kabisa then harudishi hata mia zaidi atakublock na kukuepuka
ata hivyo ni kipindi cha nyuma na nimejifunza kituSasa mwenye kosa ni wewe... Unaweza kukopa bank bila kuweka dhamana ya vitu?
Bank ina hela kuliko wewe lakini hawatoi mkopo bila bond yenye gharama kuliko mkopo wenyewe