Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,582
Wapenda naamini hamjambo.
Hivi wewe unayesoma hii thread, unajua ulicho nacho? Na je! thamani ya ulicho nacho unaijua?
Bin Adam yeyote akiulizwa / akitakiwa kuhorodhesha vitu alivyo navyo unaweza kumshangaa sana..
Eti
1. Nyumba,
2. Gari,
3. Shamba
4. Duka
na kadhalika ...
Kwa leo naomba ujue kuwa vitu ulivyo navyo ni vingi ila unavyopaswa kuvitanguliza ni hivi:-
1. Uhai
2. Afya
3. Maarifa
Naja kutoa ufafanuzi kwa hayo mambo matatu uliyo nayo na dhamani yake ..
Ila, najua wapo watakaosoma na kuguswa kuchangia thamani ya hayo mambo.. KARIBUNI