Pole sana.Miaka 15 iliyopita niliachwa na mwanamke niliyempenda sana na kuamini ndiye atakuwa mke wangu.
Bahati mbaya katika harakati za maisha nikapata tatizo la moyo, hali iliyoniweka hocpital kwa muda mrefu.
Nakumbuka maneno yake '' sitaki kuwa mjane mapema naomba tuachane tu''
Siku hiyo kidogo mtoa roho apite na mimi.
Ila basi tu