Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,176
- 24,670
Dah mimi ilinitokea jana tu. Mambo yaliyotokea yule demu ni mpuuzi kweli elimu ya Tanzania inashida haiwezekani mtu amalize form 4 awe na uelewa mdogo vile.Demu alinipakazia tu amesikia mengi kuhusu mimi nina wanawake wengi ndiyo ikawa kumwagana