Uliachanaje na dem/bwana wako?

Uliachanaje na dem/bwana wako?

FBS90

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
18
Reaction score
16
Kila Siku watu wanaanzisha na kuvunja mahusiano na wapenzi wao.

Vipi mdau, mliachanaje na mpenzi wako?Hapa ni wale wa mtaani (michepuko) ambao huna malengo nao. Mimi nikipata papuchi najitoa kimyakimya bila vurugu kistaarabu na kwa amani kabisa.

Funguka wewe unawatemaje madem/mabwana zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua anaomba ela ovyo ovyo..

"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 
Nitakuwepo hapa kwa Michango yenu zaidi
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom