Nina jumla ya kilo 4662 stoo za ulezi safi uliokobolewa nauza kwa kila kilo Tsh 1050/= .Napatikana Dar es Salaam. Mnunuzi au yeyote mwenye uhitaji twaweza wasiliana kupitia 0754729751
Ahsanteni sana.
Hahahahahah, kukobolewa kwa ulezi ni tofauti sana na kukoboa mahindi,. Ulezi ni suala tu la kuupitisha kwenye machine na kuondoa kuondoa mchanga pamoja na uchafu usiohitajika