Hakikaa manabii wataendelea kutajirika kwa akili kama hizi. Atafute msaada wa maombi! Kwanini yeye asiombe mwenyewe? BTW shida kama hizi kuzileta hapa hutapata ushauri mzuri kwani watu hawajui undani wenu na wamesikiliza upande mmoja. Kwanini unaogopa kuitisha kikao cha familia? Nina wasiwasi huko kanisani una uhusiano na ''mtume'' ndiyo maana mumewe anakwenda kutukana huko na wewe unaogopa kumshtaki kwa wazee.Mumeo ana shida kiroho na kimwili, tafuta msaada wa maombi na cancelling kwake
Usimchoke huyo ni mume wako!
Hapa umesikiliza maneno ya upande mmoja. Pengine hadithi ni tofauti kabisa kama utasikia maelezo ya mumewe. Na pengine mumewe amegeuka kuwa mlevi kwa sababu yake. Na pengine anakwenda mpaka kazini kutukana kwa sababu kuna mwanamme wake! Haya ni mawazo yangu tu lakini....Kuna wanaume wa hovyo jaman, pole sana dada. Waweke tu wazi hapo kazini tabia za jamaa, ukiweza hama home halafu nenda kituoni.
Hauna Kaka au ndugu wa kukusakdia ku deal na Jamaa? Siwezi kubali Dada yangu ateseke hivyo, kama una Kaka au vipi hemu ongea nao wakusaidie.
Upo mkoa gani?
Makanisa ya katoliki, sabato, pentecoste, anglicana kote wanatoa msaada wa maombi,Hakikaa manabii wataendelea kutajirika kwa akili kama hizi. Atafute msaada wa maombi! Kwanini yeye asiombe mwenyewe? BTW shida kama hizi kuzileta hapa hutapata ushauri mzuri kwani watu hawajui undani wenu na wamesikiliza upande mmoja. Kwanini unaogopa kuitisha kikao cha familia? Nina wasiwasi huko kanisani una uhusiano na ''mtume'' ndiyo maana mumewe anakwenda kutukana huko na wewe unaogopa kumshtaki kwa wazee.
Piga chini huyo mme
Kirahisi tu hivyo ?...Piga chini huyo mme
Hapa umesikiliza maneno ya upande mmoja. Pengine hadithi ni tofauti kabisa kama utasikia maelezo ya mumewe. Na pengine mumewe amegeuka kuwa mlevi kwa sababu yake. Na pengine anakwenda mpaka kazini kutukana kwa sababu kuna mwanamme wake! Haya ni mawazo yangu tu lakini....
Kweli mkuu,...mwanaFA alisema "usimwamini mwanamke hata kama unamtania"...Hii stori ni ya upande mmoja. Wanawake sio wa kuwaamini sana na hizi stori za kusikia upande wao.
Kuna uwezekano jamaa now hana kazi, unamsumbua na hata kazini amekuja kuchenchia sababu ya uhusiano wako na wanaume wengine.
Naona umemkomalia kuhusu ulevi wake yeye kutokua na kazi. I believe there is more to this story