Ulevi nooma

Maliasili

Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
44
Reaction score
17
Mlevi alianguka kutoka ghorofa ya 3 mpaka chini. Watu wakaja wakipanic wakamwuliza 'nini mbaya?' akajibu...'hata sijui. Mi pia nimefika saa hii'

Ulevi nooooma!
​
:lol::lol:
 
Buhahahahahahahahaha! huyo lazima alipiga viloba maana hiyo ganzi yake hakunaga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…