Walevi watatu walikodi tax, Dreva tax alivoona wamelewa sana akawasha halafu akazima gari akawaambia tumefika,
wa kwanza alimwambia asante,
Wapili akampa hela
na wa tatu alimpiga kibao akamwambia siku nyingine usiendeshe kwa kasi ungetuua!, Je yupi kati ya hawa amelewa sana?