Ulevi noma

Ulevi noma

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,939
Reaction score
43,569
jamaa kutembea tembea akapita karibu na kiwanda cha tbl si akaanguka! watu walio kuwa karibu wakajua amezimia kwa uchovu au njaa si wakatafuta maji wakaanza kum mwagia ili azinduke,jamaa aka amka baada ya dakika tano akawambia "ningekuwa nina shida ya kumwagiwa maji siningekwenda kuanguka bahari? mi nilitegemea kumwagiwa bia ndio maana nimehamua kuanguka hapa" waliojipanga kumsaidia wakaishiwa nguvu.
 
Huyu naye inaonyesha ni chapombeeeeeeeeeeeeeeeeeee kapukuuuuuuuuuuuuuu kapurunangaaaaaaa......mzoefuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom