OOoh my God! kumbe unaongelea nadharia! Ndugu mambo hayo ni magumu na huwezi toa uamuzi kwamba utafanya nini.....hutegemea na circumstances.
Ushauri wangu...kama bado upo upo...epuka kuolewa na mtu ambaye ulevi kwake ni jadi...ni kero kinoma....niliwahi kuwa mlevi na najua nilivyokuwa namkera OCAMPO wangu....nashukuru Mungu nimeyashinda hayo na OCAMPO hana kesi ya kupeleka THE HAGUE tena.
yule mwingine 'umemfanya nini''?Bahati mbaya tulikua wote....alihahakikisha sipotez netweki..
Alinaswa.jana ilikuwaje?
ulimnasa mtu kibao?
yule mwingine 'umemfanya nini''?
mbona anamchunia kila mtu?
Noma........acha kabaisa! tulihamia kwenye amarula +nyagi, then tikila mbaya!!ha ha ha ha!
aisee hivi huyo kiumbe yupo?
mwambie habbarr ake banaaaaaaaaa
poleni kwa mikasa ya jana....!nacikia mlijikoki kwel kwel had jamaa yangu dah!....
unahitaji kutoa maelezo bana! haiwezekani.:shut-mouth:
hehehehehe!unahitaji kutoa maelezo bana! haiwezekani.
unahitaji kutoa maelezo bana! haiwezekani.
kama mesej hazijibiwi,izo simu je?Hebu m :A S 101:
kama mesej hazijibiwi,izo simu je?
kuna kitu we dogo utakuwa umeharibu.....!
sisi kama wapwaaz TUTATOA TAMKO NA MSIMAMO WETU juu ya hayo yaliyotokea
wewe ni kama NYEPESI_KABUEEEEE kwenye chama,Orait...go ahead....ila at least i got clean hands on this...
Hawezi kuamua kufanya anachotaka tu, wakati anajua kina-impact kwa ordinary citizen.wewe ni kama NYEPESI_KABUEEEEE kwenye chama,
enewei hii inaweza kuwa sababu nyingine ya kukutana
muheshimiwa spika naunga mkono hoja....Hawezi kuamua kufanya anachotaka tu, wakati anajua kina-impact kwa ordinary citizen.
wewe ni kama NYEPESI_KABUEEEEE kwenye chama,
enewei hii inaweza kuwa sababu nyingine ya kukutana
muheshimiwa spika naunga mkono hoja....
MWANANCHI WA K AWAIDA NDO ANAEUMIA!
by the way:leo ni pale pale pa jana!ijumaa hii bana...PLEASE COPY TO ALL
hehehe!kijana lazima tukujadili wewe......!Naonewa sana, nadhalilishwa sana...
hehehe!kijana lazima tukujadili wewe......!
unapunguza wanachama kwa kujichukulia madaraka mkononi
mme karudi nyumbani chakari .netwek imekata ..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani
mme: We ma hick hick maaya hick hick we maaya..niashe hick hick .nashema niashe hick hick .nampenda mke wangu
kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake .
Ipi itakua reaction ya mamsapu?
hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....
Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa masiha....mbege na bia kwa wingi!