FACTSHEET ABOUT ALCOHOL AND CANCER
KIAFYA POMBE SI SALAMA (SHIRIKA LA AFYA DUNIANI/WHO)
No level of alcohol consumption is safe for our health
No level of alcohol consumption is safe for our health
The risks and harms associated with drinking alcohol have been systematically evaluated over the years and are well documented.www.who.int
Amen mtumishi
Ukiona mtu anaanzisha mada ingine,tofauti na mada iliyopo,ujue hakubaliani na ukweli wa mada ya awali au anapotezea kwa kuingiza mada mpya,,ndugu usipokubaliana na ukweli utaumbuka mwenyewe.THE SAME APPLIES KWA SODA NA BIDHAA ZA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI MWILINI
SIO SODA PEKEE TU NA JUISI ZA VIWANDANI N.K NA KADHALIKA..
SI SALAMA KWA AFYA ZETU
BILA KUSAHAU ENERGY DRINKS..
Ulevi unaiingizia serikali mapato makubwa sawa na petroli, hii ndiyo sifa yetu.sijawahi kuelewa hili swala la ulevi hapa tanzagiza, ni kwa nini ni sifa? kwa nini mtu anajisifia kuwa mlevi wakati nchi na jamii nyingi duniani ulevi ni ugonjwa wa akili na watu wanatumia fedha na gharama kubwa kufanya therapy kuondokana nao?
uzoefu wangu karibia wanawake wote waliokuwa walevi niliokutana nao maishani walikuwa na psychological problems ni kama wanakimbia kivuli chao, yaani kuna kitu pombe ilikuwa inawasaidia kusahau kwa muda atleast mental illness zao, sasa huo ni uzoefu wangu na mademu walevi lkn kwa upande wa wanaume tena vijana wengi tanzagiza mpaka wanashindana kulewa na ni sifa, how sick is this society ? i mean, ni kizuri gani khs kuwa mlevi kwanza pombe inaharibu viungo vya mwili wako hasa ini, iweje watu waone ni jambo la kujisifia? how crazy is this society hapa tanzagiza ? …
Mtoa mada,inaonekana wewe unatabia za kimbea mbea sana!!
Kwani wewe izo soda unazokunywa zinakusaidia nini??
Alafu inaonekana una wivu sana watu wanapoenjoy!