Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Kiukweli mi sio shabiki wa pombe nikinywa nakuwa ovyo ila sipendi kuwa na mwanaume km wewe msiokunywa, wengi mnakuwaga wanafiki sana vijitabia vingi vya kike mnavyo, mmepoa sana hata kiutafutaji sio kiivyo km wanaokunywa,,

Matajiri wengi wanakunywa pombe fatilia
 
Na ambao hamnywii uwii ni walevi wa k kuzidi wanywaji wa pombe
Yani hua hawana starehe nyingine tofauti na kusikia hadi kwa mashemehi zao na kupiga puchu, na ukute wa namna hiyo mpira aangaliii 🙆🙆🙆 utajuta kumfaham
 
nadhani tatizo linalokusumbua ni huyo kigogo alokupigia manzi yako ila ulevi unataka kuutumia kujustify escape plan yako.
 
Ajabu umesema na kwenu kuna waraibu wa pombe..hao hujahisi watarithi wanao?[emoji706]
Anywys uraibu unarithi...tena unarithi vibaya mno
Kwetu Kwa familia yetu tuliozaliwa na mama yangu watoto wanne hakuna uraibu wa pombe ila Kwa mke mkubwa wa Baba yangu/ yaani mama mkubwa kwao huko watoto wawili aliozaa wana uraibu wa pombe na wale wamerithi kwa wajomba zao. I believe uraibu ni hereditary disorder
 
Achanane Kama ametembe na kigogo wa serekali mtafute ambaye hakafanya umalayaa

HV dunia hii utapata wapi mwanmke ambe ajaliwa popote

Acha hzo mzee wee oa Kama ataliwa na mwalimu mkuu bas fukuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…