Ulevi je ni Tabia ya kurithi

Angekuwa mnywaji angeshavuta mama ndani, ila kwa kuwa hanywi ameamua kujipa kazi ya kufuatilia maisha ya mashemeji zake kitu ambacho hakifai.
Hapo ataanza fatikia hadi wajomba
 
Miaka 28 hajaolewa? Labda alikuwa na huyo mtu unayedhani. Kwa hiyo, tafuta watu (hata kwa kuwalipa pesa kidogo), wafuatilie historia yake.

Roho za kurithi haziwezi kwenda kwake mwanamke - labda kama bibi yake alikuwa nazo.
Kwahiyo miaka 28 ni mzee!!! Kachelewa kuolewa!?!? Hivi nyie wenzetu wa humu mnaishi jamii hizi hizi tunazo ishi sisi!!!?

Mtoa mada sasa👇
Ulevi wa baba kwenda kwa watoto ni tabia tu sio urithi.... Kama umempenda kweli vigezo unavyo angalia ni hafifu sana.

Kwani wewe huyo dada ndo mpenzi wako wa kwanza? Unahisi alitembea na mbaba...kwanini?.... Angalia ushauri utakaokupa maslai halafu kampe jibu haraka dada wa watu aendelee na yake na wewe ukatafute wa kuendana nae.
 
Yani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!
 
W We umemrithi nani? Kaka au dada?
 
Waalim wakat wanakufundisha kuandika kwenye daftari la mistari mikubwa na midogo ulikua unawaona wanapoteza muda madhara yake ndo haya unakuja kutuumiza macho
 
Wewe 40+ huko utagida pombe mbwa ananafu.

Nilizingatia maelezo yako.
 
Miaka 28 hajaolewa? Labda alikuwa na huyo mtu unayedhani. Kwa hiyo, tafuta watu (hata kwa kuwalipa pesa kidogo), wafuatilie historia yake.

Roho za kurithi haziwezi kwenda kwake mwanamke - labda kama bibi yake alikuwa nazo.
Mbususu imechoka hiyo.

Nna Dem wa 33 mhaya mbususu imechakaa kinyama huyo wako itakuwa imelegea.

Mkague utaona Ina nyano Kwa pembeni kwenye mashavu..na ndio maana sipendi Yanga mie.. yaani papuchi ikichakaa imechgua rangi ya njano kwenye mashavu
 
Yani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!
Kuna Anko wangu mmoja yeye kutwa alikuwa anawasema kaka zake hawajui kulea watoto, mi nikawa namuangalia tu sasa hivi mitoto yake imekuwa mikubwa ndio misumbufu balaa mmoja mdokozi mwingine bange zimemuaribu

Mlezi wa kweli ni Mungu
 
Waalim wakat wanakufundisha kuandika kwenye daftari la mistari mikubwa na midogo ulikua unawaona wanapoteza muda madhara yake ndo haya unakuja kutuumiza macho
Jinsi ya kupanga paragraph kwenye jf ni shida
 
Haya yooote tumeskia, lakini mimi naomba uongezee nyama kidogo sehem moja,
Eti blaza unasema aliwahi kutembea na mzee nyeti wa kitengo au sijakuskia vizuri??
Kuna Mzee mmoja pale ofisini ni Mzee wa totoz na Yupo kitengo nyeti. Yule Mzee nahisi alitembea nae baada ya kufanya karesarch. Baada ya kuona Ile namba kwenye simu yake niliiangalia mara mbili nikaona ni yenyewe.Hamna connection yeyote Ile Kati ya kitengo cha yule Mzee na mwl.. mara kama Tatu alimzungimzia Yule Mzee kwenye story kwa Jina halisi. Yule Mzee mimi namfahamu Kwa cheo chake but yeye alimzungumzia Kwa kutaja jina
 
Waalim wakat wanakufundisha kuandika kwenye daftari la mistari mikubwa na midogo ulikua unawaona wanapoteza muda madhara yake ndo haya unakuja kutuumiza macho
😂😂😂😂😂
 
Yani amejipa ubora ambao sidhani kama anao...kujiona msafi kisa tu hanywi pombe na kuofia wengine kisa baba na kaka wanakunywa!!!? Eti ataaribiwa watoto wake!!
Ni unywaji uliopindukia . Kuna unywaji wa kawaida na ule uliozidi kiwango . mwingine kapelekwa sober house . Kapelekwa Nyumba za maombi imeshindikana
 
Hamna muoaji hapo, ni anatafuta kisingizio cha break up
Ebu acha hizo mambo ulevi wa kaka zake ndio na ye umuone atakuwa mlevi

Mpaka kufikia umri huo kama sio mlevi hawezi kuwa mlevi usimuhukumu kupitia kaka zake mkuu kama unampenda endelea kumpenda na umuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…